Skip to main content

Posts

JIFUNZE AI

JIFUNZE AI: MUONGOZO KAMILI WA KUANZA NA AKILI BANDIA Akili Bandia (Artificial Intelligence – AI) imekuwa kiini cha mapinduzi ya kiteknolojia duniani. Kuanzia kwenye simu janja, tovuti, hospitali, elimu, hadi biashara, AI inabadilisha namna tunavyoishi na kufanya kazi. Makala hii itakuongoza hatua kwa hatua ili kuanza safari yako ya kujifunza AI bila mkanganyiko. AI ni nini? AI ni uwezo wa mashine au kompyuta kufikiri, kujifunza na kufanya maamuzi yanayofanana na ya binadamu. AI inafanya mambo kama: Kutambua sauti na uso Kutabiri tabia za watumiaji Kuandika au kutafsiri maandishi Kuendesha magari bila dereva Kuwasiliana kama binadamu kupitia modeli kama ChatGPT Kwa nini ujifunze AI? Ajira nyingi zinahitaji ujuzi wa AI Sekta kama afya, biashara, uhandisi, elimu, na usalama zinahitaji wataalamu wa AI. Inakupa uwezo wa kutatua matatizo AI inasaidia kuongeza tija na kupunguza muda wa kazi. Fursa za ubunifu na uvumbuzi Unaweza kutengeneza programu, robot...

KARIBUNI MAHAFALI YA TATU YA CHUO CHA MITAMBO IHET

 

Namna Ya kupunguza Mafuta katika tumbo (kitambi)

Hapo zamani kidogo tuliona na tulishuhudia watu wakisema ya kwamba mwanaume ambaye ana kitambi ndiye ambaye mwenye fedha, hiyo ni imani ambayo ilijengeka katika fikra na mitazamo yetu. Lakini katika karne hii mambo yamebadilika baada ya kuona baadhi ya madaktari wakieleza kwa kina ya kwamba kuwepo matumbo makubwa tanatokana na

Fahamu masharti ya Bodi ya mkopo kwa wanafunzi wa ngazi ya elimu ya juu

Helsb Announcement 2018/2019 Download here

Zijue dondoo mbalimbali za afya yako

Baadhi ya watu wengi tumekua wazito kuweza kufanya au kufuata Masharti ya afya Ungana nasi Download Here

NYANDU TOZZY _CHIN BEES FT YOUNG DE - DOUBLE DOUBLE (OFFICIAL VIDEO)

Izzo Bizness ft Quick Rocka - Mkemia Mkuu ( Official Music Video )